Marko 16:12-13
Marko 16:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye Yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. Wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani. Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini.
Shirikisha
Soma Marko 16Marko 16:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baada ya hayo akawatokea wawili miongoni mwao, akiwa na sura nyingine; nao walikuwa wakitembea njiani kwenda mashambani. Na hao wakaenda zao wakawapa habari wale wengine; wala hao hawakuwaamini.
Shirikisha
Soma Marko 16