Ayubu 11:7-9
Ayubu 11:7-9 SRUV
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikia upeo wa huyo Mwenyezi? Ni juu mno kama mbingu; waweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kuliko kuzimuni; waweza kujua nini wewe? Cheo chake ni kirefu kuliko dunia, Ni kipana zaidi ya bahari.