Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 11:7-9

Ayubu 11:7-9 NENO

“Je, unaweza kujua siri za Mungu? Je, unaweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? Ni juu mno kuliko mbingu: unaweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko Kuzimu: wewe unaweza kujua nini? Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari.