Yeremia 51:38-39
Yeremia 51:38-39 SRUV
Watanguruma pamoja kama wanasimba; watanguruma kama simba wachanga. Wakiingiwa na ukali, nitawafanyia karamu yao, nami nitawalevya, wapate kufurahi, na kulala usingizi wa milele, wasiamke tena, asema BWANA.