Waraka kwa Waebrania 4:7-8
Waraka kwa Waebrania 4:7-8 SRUV
aweka tena siku fulani, akisema katika Daudi baada ya muda mwingi namna hii, Leo, kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo, kama mkisikia sauti yake, Msifanye mioyo yenu migumu. Maana kama Yoshua angaliwapa pumziko, asingaliinena siku nyingine baadaye.