Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 1:1-2

Wakolosai 1:1-2 SRUV

Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo, ndugu yetu, kwa ndugu watakatifu na waaminifu katika Kristo, walioko Kolosai. Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 1:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha