Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:36-37

Matendo 19:36-37 SRUV

Basi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapasa kutulia; msifanye neno la haraka haraka. Kwa maana mmewaleta watu hawa, wasioiba vitu vya hekalu wala kumtukana mungu mke wetu.

Soma Matendo 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 19:36-37

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha