Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:36-37

Matendo 19:36-37 NENO

Kwa hiyo, kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, inawapasa mnyamaze na wala msifanye lolote kwa haraka. Kwa kuwa mmewaleta hawa watu hapa, ingawa hawajaiba hekaluni wala kumkufuru huyu mungu wetu wa kike.

Video ya Matendo 19:36-37