Sef 1:6-7
Sef 1:6-7 SUV
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata BWANA; na hao wasiomtafuta BWANA, wala kumwulizia. Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya BWANA i karibu; Kwa kuwa BWANA ameweka tayari dhabihu, Amewatakasa wageni wake.