Sefania 1:6-7
Sefania 1:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawaangamiza wote walioniacha mimi Mwenyezi-Mungu wote walioacha kunitafuta na kuniuliza shauri.” Nyamazeni mbele ya Bwana Mwenyezi-Mungu, kwani siku ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Mwenyezi-Mungu ameandaa tambiko, nao aliowaalika amewateua.
Shirikisha
Soma Sefania 1Sefania 1:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata BWANA; na hao wasiomtafuta BWANA, wala kumwulizia. Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya BWANA iko karibu; Kwa kuwa BWANA ametayarisha dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
Shirikisha
Soma Sefania 1Sefania 1:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata BWANA; na hao wasiomtafuta BWANA, wala kumwulizia. Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya BWANA i karibu; Kwa kuwa BWANA ameweka tayari dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
Shirikisha
Soma Sefania 1