Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 14:17-18

Rum 14:17-18 SUV

Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu. Kwa kuwa yeye amtumikiaye Kristo katika mambo hayo humpendeza Mungu, tena hukubaliwa na wanadamu.

Soma Rum 14

Video ya Rum 14:17-18