Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 86:1-2

Zab 86:1-2 SUV

Ee BWANA, utege sikio lako unijibu, Maana mimi ni maskini na mhitaji Unihifadhi nafsi yangu, Maana mimi ni mcha Mungu. Wewe uliye Mungu wangu, Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.

Soma Zab 86