Zaburi 86:1-2
Zaburi 86:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Unitegee sikio, ee Mwenyezi-Mungu, unijibu, maana mimi ni fukara na mnyonge. Uyahifadhi maisha yangu maana mimi ni mchaji wako; uniokoe mimi mtumishi wako ninayekutegemea.
Shirikisha
Soma Zaburi 86Zaburi 86:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, utege sikio lako unijibu, Maana mimi ni maskini na mhitaji. Unihifadhi nafsi yangu, Maana mimi ni mcha Mungu. Wewe uliye Mungu wangu, Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 86