Zab 84:3-4
Zab 84:3-4 SUV
Shomoro naye ameona nyumba, Na mbayuwayu amejipatia kioto, Alipoweka makinda yake, Kwenye madhabahu zako, Ee BWANA wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu. Heri wakaao nyumbani mwako, Wanakuhimidi daima.