Zab 78:42-43
Zab 78:42-43 SUV
Hawakuukumbuka mkono wake, Wala siku ile alipowakomboa na mtesi. Alivyoziweka ishara zake katika Misri, Na miujiza yake katika konde la Soani.