Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 77:2-3

Zab 77:2-3 SUV

Siku ya taabu yangu nalimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, haukulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika. Nilipotaka kumkumbuka Mungu nalifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia.

Soma Zab 77