Zaburi 77:2-3
Zaburi 77:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu. Ninamfikiria Mungu na kusononeka; ninatafakari na kufa moyo.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku ya taabu yangu nilimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, bila kulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika. Nilipotaka kumkumbuka Mungu nilifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia.
Shirikisha
Soma Zaburi 77