Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 73:27-28

Zab 73:27-28 SUV

Maana wajitengao nawe watapotea; Umewaangamiza wote waliokuacha Wewe. Nami kumkaribia Mungu ni kwema kwangu; Nimefanya kimbilio kwa Bwana MUNGU, Niyahubiri matendo yako yote.

Soma Zab 73