Zab 73:23-26
Zab 73:23-26 SUV
Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kuume. Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu. Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe. Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.