Zab 73:2-3
Zab 73:2-3 SUV
Nami miguu yangu ilikuwa karibu na kupotoka, Hatua zangu zilikuwa karibu na kuteleza. Maana naliwaonea wivu wenye kujivuna, Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.