Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 56:1-2

Zab 56:1-2 SUV

Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita. Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana waletao vita juu yangu kwa kiburi ni wengi.

Soma Zab 56