Zaburi 56:1-2
Zaburi 56:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Mchana kutwa maadui wananidhulumu. Mchana kutwa maadui zangu wananishambulia; ni wengi mno hao wanaonipiga vita.
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita. Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana ni wengi wanaonipiga vita.
Shirikisha
Soma Zaburi 56