Zab 55:4-6
Zab 55:4-6 SUV
Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia. Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imenifunikiza. Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe.