Zaburi 55:4-6
Zaburi 55:4-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Moyo wangu umejaa hofu, vitisho vya kifo vimenisonga. Natetemeka kwa hofu kubwa, nimevamiwa na vitisho vikubwa. Laiti ningekuwa na mabawa kama njiwa! Ningeruka mbali na kupata pumziko
Shirikisha
Soma Zaburi 55Zaburi 55:4-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia. Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imeniingia. Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningeruka mbali na kustarehe.
Shirikisha
Soma Zaburi 55