Zab 50:9-10
Zab 50:9-10 SUV
Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako. Maana kila hayawani ni wangu, Na makundi juu ya milima elfu.