Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 50:9-10

Zaburi 50:9-10 NENO

Sina haja na fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako. Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.