Zaburi 50:9-10
Zaburi 50:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako; maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 50Zaburi 50:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako. Maana kila mnyama-pori ni wangu, Na mifugo juu ya angani elfu.
Shirikisha
Soma Zaburi 50