Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 37:21-22

Zab 37:21-22 SUV

Asiye haki hukopa wala halipi, Bali mwenye haki hufadhili, hukirimu. Maana waliobarikiwa na yeye watairithi nchi, Nao waliolaaniwa na yeye wataharibiwa.

Soma Zab 37