Zaburi 37:21-22
Zaburi 37:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwovu hukopa bila kurudisha; lakini mwadilifu hutoa kwa ukarimu. Waliobarikiwa na Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi, lakini waliolaaniwa naye watafutiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Asiye haki hukopa wala halipi, Bali mwenye haki hufadhili, hukirimu. Maana waliobarikiwa na BWANA watairithi nchi, Nao waliolaaniwa naye watakatiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Zaburi 37