Zab 36:8-9
Zab 36:8-9 SUV
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha mto wa furaha zako. Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima, Katika nuru yako tutaona nuru.