Zaburi 36:8-9
Zaburi 36:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wawashibisha kwa utajiri wa nyumba yako; wawanywesha kutoka mto wa wema wako. Wewe ndiwe asili ya uhai; kwa mwanga wako twaona mwanga.
Shirikisha
Soma Zaburi 36Zaburi 36:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha kutoka mto wa furaha zako. Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima, Katika nuru yako tutaona nuru.
Shirikisha
Soma Zaburi 36