Zab 30:10-12
Zab 30:10-12 SUV
Ee BWANA, usikie, unirehemu, BWANA, uwe msaidizi wangu. Uligeuza matanga yangu kuwa machezo; Ulinivua gunia, ukanivika furaha. Ili utukufu wangu ukusifu, Wala usinyamaze. Ee BWANA, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.