Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 3:1-3

Zab 3:1-3 SUV

BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia, Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu, Hana wokovu huyu kwa Mungu. Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.

Soma Zab 3