Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 29:10-11

Zab 29:10-11 SUV

BWANA aliketi juu ya Gharika; Naam, BWANA ameketi hali ya mfalme milele. BWANA atawapa watu wake nguvu; BWANA atawabariki watu wake kwa amani.

Soma Zab 29