Zaburi 29:10-11
Zaburi 29:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ameketi juu ya gharika; Mwenyezi-Mungu ni mfalme atawalaye milele. Mwenyezi-Mungu na awape watu wake nguvu! Mwenyezi-Mungu na awabariki watu wake kwa amani!
Shirikisha
Soma Zaburi 29Zaburi 29:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA aketi juu ya Gharika; Naam, BWANA ameshika hatamu ya ufalme milele. BWANA na awape watu wake nguvu; BWANA na awabariki watu wake kwa amani.
Shirikisha
Soma Zaburi 29