Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 22:1-5

Zab 22:1-5 SUV

Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mbona U mbali na wokovu wangu, Na maneno ya kuugua kwangu? Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha. Na Wewe U Mtakatifu, Uketiye juu ya sifa za Israeli. Baba zetu walikutumaini Wewe, Walitumaini, na Wewe ukawaokoa. Walikulilia Wewe wakaokoka, Walikutumaini wasiaibike.

Soma Zab 22

Picha ya aya ya Zab 22:1-5

Zab 22:1-5 - Mungu wangu, Mungu wangu,
Mbona umeniacha?
Mbona U mbali na wokovu wangu,
Na maneno ya kuugua kwangu?
Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu
Na wakati wa usiku lakini sipati raha.
Na Wewe U Mtakatifu,
Uketiye juu ya sifa za Israeli.
Baba zetu walikutumaini Wewe,
Walitumaini, na Wewe ukawaokoa.
Walikulilia Wewe wakaokoka,
Walikutumaini wasiaibike.