Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 2:10-12

Zab 2:10-12 SUV

Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili, Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe. Mtumikieni BWANA kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka. Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake itawaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.

Soma Zab 2

Picha ya aya ya Zab 2:10-12

Zab 2:10-12 - Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili,
Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe.
Mtumikieni BWANA kwa kicho,
Shangilieni kwa kutetemeka.
Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira
Nanyi mkapotea njiani,
Kwa kuwa hasira yake itawaka upesi;
Heri wote wanaomkimbilia.