Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 19:7-9

Zab 19:7-9 SUV

Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima. Maagizo ya BWANA ni ya adili, Huufurahisha moyo. Amri ya BWANA ni safi, Huyatia macho nuru. Kicho cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki kabisa.

Soma Zab 19

Picha ya aya ya Zab 19:7-9

Zab 19:7-9 - Sheria ya BWANA ni kamilifu,
Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa BWANA ni amini,
Humtia mjinga hekima.
Maagizo ya BWANA ni ya adili,
Huufurahisha moyo.
Amri ya BWANA ni safi,
Huyatia macho nuru.
Kicho cha BWANA ni kitakatifu,
Kinadumu milele.
Hukumu za BWANA ni kweli,
Zina haki kabisa.