Zab 139:3-4
Zab 139:3-4 SUV
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote. Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, BWANA.