Zaburi 139:3-4
Zaburi 139:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Watambua nikienda au nikipumzika; wewe wazijua shughuli zangu zote. Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote. Maana hamna neno katika ulimini wangu Usilolijua kabisa, BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 139