Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 139:1-3

Zab 139:1-3 SUV

Ee BWANA, umenichunguza na kunijua. Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote.

Soma Zab 139