Zab 13:4-5
Zab 13:4-5 SUV
Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa. Nami nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.