Zaburi 13:4-5
Zaburi 13:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiwaache maadui zangu waseme: “Tumemweza huyu!” Watesi wangu wasije wakafurahia kuanguka kwangu. Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 13Zaburi 13:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa. Lakini mimi nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 13