Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 127:1-5

Zab 127:1-5 SUV

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi. Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu. Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo wana wa ujanani. Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.

Soma Zab 127

Picha za Aya za Zab 127:1-5

Zab 127:1-5 - BWANA asipoijenga nyumba
Waijengao wafanya kazi bure.
BWANA asipoulinda mji
Yeye aulindaye akesha bure.
Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema,
Na kukawia kwenda kulala,
Na kula chakula cha taabu;
Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
Tazama, wana ndio urithi wa BWANA,
Uzao wa tumbo ni thawabu.
Kama mishale mkononi mwa shujaa,
Ndivyo walivyo wana wa ujanani.
Heri mtu yule
Aliyelijaza podo lake hivyo.
Naam, hawataona aibu
Wanaposema na adui langoni.Zab 127:1-5 - BWANA asipoijenga nyumba
Waijengao wafanya kazi bure.
BWANA asipoulinda mji
Yeye aulindaye akesha bure.
Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema,
Na kukawia kwenda kulala,
Na kula chakula cha taabu;
Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
Tazama, wana ndio urithi wa BWANA,
Uzao wa tumbo ni thawabu.
Kama mishale mkononi mwa shujaa,
Ndivyo walivyo wana wa ujanani.
Heri mtu yule
Aliyelijaza podo lake hivyo.
Naam, hawataona aibu
Wanaposema na adui langoni.