Zab 118:11-14
Zab 118:11-14 SUV
Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali. Walinizunguka kama nyuki, Walizimika kama moto wa miibani; Kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali. Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia. BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.