Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 7:1-3

Mit 7:1-3 SUV

Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako. Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako. Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.

Soma Mit 7