Methali 7:1-3
Methali 7:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, yashike maneno yangu, zihifadhi kwako amri zangu. Zifuate amri zangu nawe utaishi; yalinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Yafunge vidoleni mwako; yaandike moyoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 7Methali 7:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako. Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako. Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Shirikisha
Soma Methali 7