Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:23-26

Mit 4:23-26 SUV

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe. Macho yako yatazame mbele, Na kope zako zitazame mbele yako sawasawa. Ulisawazishe pito la mguu wako, Na njia zako zote zithibitike

Soma Mit 4

Picha za Aya za Mit 4:23-26

Mit 4:23-26 - Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo;
Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe,
Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.
Macho yako yatazame mbele,
Na kope zako zitazame mbele yako sawasawa.
Ulisawazishe pito la mguu wako,
Na njia zako zote zithibitikeMit 4:23-26 - Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo;

Na njia zako zote zithibitike