Mit 3:31-33
Mit 3:31-33 SUV
Usimhusudu mtu mwenye jeuri, Wala usiichague mojawapo ya njia zake. Maana mtu mkaidi ni chukizo kwa BWANA, Bali siri yake ni pamoja na wanyofu. Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki.