Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 2:7-10

Mit 2:7-10 SUV

Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu; Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake. Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema. Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako

Soma Mit 2

Picha za Aya za Mit 2:7-10

Mit 2:7-10 - Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili;
Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu;
Apate kuyalinda mapito ya hukumu,
Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
Ndipo utakapofahamu haki na hukumu,
Na adili, na kila njia njema.
Maana hekima itaingia moyoni mwako,
Na maarifa yatakupendeza nafsi yakoMit 2:7-10 - Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili;
Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu;
Apate kuyalinda mapito ya hukumu,
Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
Ndipo utakapofahamu haki na hukumu,
Na adili, na kila njia njema.
Maana hekima itaingia moyoni mwako,
Na maarifa yatakupendeza nafsi yako